USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera CDE SAMIRA KHALFAN AMOUR amechukua fomu kugombea ubunge wa viti maalum mkoa wa Kagera kupitia jumuiya ya wanawake.
Samira Khalfan Amour amekuwa mstari wa mbele kuinua jamii inapokabiliana na changamoto mbalimbali mkoani Kagera
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Samira Khalfan Amour ni mjumbe katika kamati ya uchumi na fedha ya UWT taifa ,mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa na makamu mwenyekiti wa wafanyabiashara wa wilaya ya biharamulo na mdau muhimu wa michezo.
Kuchukua form mara hii ni ishara kubwa ya kufikia malengo ya kuzibeba changamoto za mkoa wa kagera kwa kinamama wote bila kujali itikadi zao.
Kama mama na mdau wa maendeleo anasifika katika kuibua mbinu mpya za kutatua changamoto za kielimu, afya na biashara kwa kinamama wenzake na watoto wa kike katika mkoa wa kagera.
Lengo lake kubwa ni kuwaunganisha wanawake ili wakabiliane na changamoto zao za kiuchumi na haki kwa pamoja kwa mkoa mzima huku wakishikana mikono kuvuka malengo ya maendeleo kwa pamoja .
Ni mara yake ya pili baada ya kukosa kura chache sana katika uchaguzi wa 2020 ambapo kura hazikutosha ila anakuja na nguvu ya kuhakikisha safari ya Dodoma inafanikiwa .