CDF Gen Muhoozi atoa onyo kwa wananchi kurudi nyumbani baada ya kupiga kura

CDF Gen Muhoozi atoa onyo kwa wananchi kurudi nyumbani baada ya kupiga kura

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Uganda, Jenerali Kainerugaba Muhoozi, ambaye pia ni mtotot wa Rais Museveni amewaonya wapiga kura dhidi ya kukiuka miongozo ya Tume ya Uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2026

“Tunawaomba wananchi wapige kura kwa amani kisha waondoke nyumbani, wasiendelee kukaa karibu na vituo vya kupigia kura.”

Akaongeza: “Wale watakaojaribu kusababisha fujo, watashughulikiwa haraka na kwa kutumia zana zote tulizo nazo, kwa mujibu wa sheria.”

Jenerali Muhoozi amewahakikishia wananchi kuwa kutakuwa na usimamizi wa kutosha wa mchakato wa uchaguzi, ukiwa uwazi na wa kuaminika, kupitia mawakala, vyombo vya habari na waangalizi.

1765883450949.png

=============
The Chief of Defiance Forces (CDF), Gen Muhoozi Kainerugaba, has urged Ugandans to remain peaceful during the campaign period and as they cast their ballots on January 15, 2026.

Speaking at a pipping ceremony of senior and general officers who were promoted last month to different ranks held at the Ministry of Defence and Veteran Affairs headquarters in Mbuya today, the First Son, who also serves as a senior presidential advisor on special operations, appealed to Ugandans to cast their votes peacefully and go home thereafter, instead of hanging around the polling stations.

According to him, vote counting will be transparent, and it will be done in the open as each contestant's agents will be present to witness the process.

"The international observers will be present and so will the media. So, there is no need to hang around saying that they are protecting votes. The process will be transparent," Gen Muhoozi said.

His remarks come on the heels of a sustained campaign by the opposition National Unity Platform (NUP) leadership calling on its supporters to protect their votes, accusing Gen Muhoozi's father, President Yoweri Museveni, who has been in power for nearly 40 years, of vote rigging.
 
Ngoja tuone gen z wa uganda watakuja na mbinu gani nasie tu copy!

Kujikwaa sio kuanguka.
 
Back
Top Bottom