johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanatinga uraiani, ni mwendo wa kuimba kuku na kukaba .Madogo wamejiumiza kizembeeee
Hili kayumba sana , kosa ni vijana Kuandamana basi.Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo
CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo.
Source: TBC
Huo ni unyonyaji mtupu mnatumikisha watoto wa watu miaka miwili bila malipo wanajenga majengo mbali mbali ukuta mrefu hivo arafu mnakuja kuwafukuza kama mbwa, kwani nyie hamlipwi.Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo
CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo.
Source: TBC
Jeshini ni amri hakuna siasa!Hili kayumba sana , kosa ni vijana Kuandamana basi.
Hapo sasa ngoja tusubiri wataalamSasa MEKO alivyosema waajiriwe alikuwa anamaanisha nini?
Hakumaanisha waajiriwe na JKT.Sasa MEKO alivyosema waajiriwe alikuwa anamaanisha nini?
Maana ya siasa sio maandamano? Sema vijana wameandamana kwao ni kosa!!Jeshini ni amri hakuna siasa!
Jeshini unaandamana ili iwe nini?Maana ya siasa sio maandamano? Sema vijana wameandamana kwao ni kosa!!
Mtaani ni zaidi ya jeshi. Vibaka tu walimuua Bondia Thomas Mashali, sembuse JKT aliyetoka kubebea tofali Chamwino na kulima bamia.Wanatinga uraiani, ni mwendo wa kuimba kuku na kukaba .
Tatizo la Mataga kila wakati ni uongo uongo tu!! Magufuli alisema waajiriwe lakini kosa la vijana wameandamana kwa Jeshi ni kosa mbele ya watu.Hakumaanisha waajiriwe na JKT.
Ile video ya jpm, akitoa maagizo kuwa wamefanya kazi nzuri sana, hivyo anatoa maagizo wote waajiriwe jeshini(jwtz) umeiona?, huko wastafu wa polisi nako wanalia kuwa alipotoa maagizo kuww ndani ya wiki moja walipwe, ameondoka kabla ya ahadi hiyo kutekerezwa!!!Hakumaanisha waajiriwe na JKT.
Hilo ndio kosa vijana wamefanya? Lakini futa neno siasa.Jeshini unaandamana ili iwe nini?
Alisema waajiriwe lakini hakusema waajiriwe JKT.Tatizo la Mataga kila wakati ni uongo uongo tu!! Magufuli alisema waajiriwe lakini kosa la vijana wameandamana kwa Jeshi ni kosa mbele ya watu.
Wewe hujapita JKT, waulize Halima Mdee na Bulaya watakujuza!Hilo ndio kosa vijana wamefanya? Lakini futa neno siasa.
MACCM wamekuuwa uwezo wa kufikiria