Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya wananchi na limepewa jina hilo kwa kutambua wajibu wake wa kuwalinda.
"'Hili ni jeshi lao, na ndio maana likapewa jina hilo, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Ili hili jeshi liweze kutimiza majukumu yake ipasavyo, linahitaji ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi. Kwa hiyo, tunawaomba wananchi watoe ushirikiano kwa jeshi lao"
Jenerali Mkunda amesema ushirikiano wa wananchi ni muhimu katika kulisaidia jeshi kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuhakikisha linaendelea kutimiza wajibu wake kwa taifa.