Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuwa na utii nanga weweHuyu jamaaa mbona anaongea vituvya kitoto sana
Amekutuma ????Kuwa na utii nanga wewe
Jeshi gani takataka hilo mbona halikusimama na wananchi ile oktoba 29 badala yake likawasaliti dhidi ya genge dogo tu watawala?!.Sahihi kabisa hatuna jeshi lingine ndio jeshi letu hili
USSR
Nasikia hapo mapinga bagamoyo ni kama kibiti vile watu wanapasuliwa balaaMkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya wananchi na limepewa jina hilo kwa kutambua wajibu wake wa kuwalinda.
"'Hili ni jeshi lao, na ndio maana likapewa jina hilo, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Ili hili jeshi liweze kutimiza majukumu yake ipasavyo, linahitaji ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi. Kwa hiyo, tunawaomba wananchi watoe ushirikiano kwa jeshi lao"
Jenerali Mkunda amesema ushirikiano wa wananchi ni muhimu katika kulisaidia jeshi kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuhakikisha linaendelea kutimiza wajibu wake kwa taifa.
Kivipi mbona mbona hii ni kaliMkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya wananchi na limepewa jina hilo kwa kutambua wajibu wake wa kuwalinda.