CDF Mkunda: JWTZ ni Jeshi lao Wananchi, waendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi lao

Jeshi lipo kurinda mafisadi wakati wananchi wanajipambania kutoka utumwani October 29 nyie mkaungana na watesi wa wananchi kurinda mafisa shame kwa Jeshi la wananchi
 
Kwa kweli Mkunda ulikosea sana kuruhusu Wana nchi wakauwawa tena majumbani mwao.

Ulikuwa na uwezo wa kuzuia hizo gasia tena kwa nyimbo tu. Raia wote wangeandamana kwa kuomba nyimbo na Wala wasingechoma moto Mali yoyote.

Ulitukosea tuombe radhi yaishe.
 
JESHI limeanza kujitetea😆!
Nchi yetu Haina JESHI bali C.C.M Ina JESHI.
 
General mkunda!

Mlikua wapi wakati watz wanauawa kikatili October 29!?

Kama kweli Hilo ni jeshi la wananchi!!?

Mliwaaachaje waka uawa!!?

Hebu na nyie mtoe ufafanuzi tuone msimamo wenu!!

Coz zinaundwa tume nyingi sasa ni ya pili lakini bado kabisa kutoridhika kwa wahanga wa matukio hayo!!

Au na nyie mnasubiria ICC ndio iamue!!?

Hebu tunaomba mtoe msimamo wenu tujue!!
 
Hamna jeshi hapo
Huyo cha pombe ndo kwanza haelewi hata anafanya nini ofisini.
Yeye anajua kula tungi tu na kuwala askari wa vyeo vya chini.
 
Siku ya 29.10.2025 imekuwa ni anguko la Imani ya wananchi wa Malawi kwa hilo jeshi,haitabadilika abadan,itahitaji mabadiliko makubwa sana kurudisha imani yao tena kwa hilo jeshi.
 
Hilo ni jeshi la Ccm ,huyu jamaa asijisafishe kwetu Watanzania kwasasa hatuna jeshi.
 
Siku ya 29.10.2025 imekuwa ni anguko la Imani ya wananchi wa Malawi kwa hilo jeshi,haitabadilika abadan,itahitaji mabadiliko makubwa sana kurudisha imani yao tena kwa hilo jeshi.
Umesema kweli kabisa
 
Kama anataka ushirikiano basi watanganyika tunakuambia huyu mama kamteka polepole.chukua hatua sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…