CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

Ujuaji si kosa kama unachojua ni sahihi na umekipata kwa juhudi zako binafsi..cheo, hadhi au Mali havimfanyi mtu kujua lolote kama yeye mwenyewe hana bidii ya kutaka kujua!

Sio cheo cha mkuu wa majeshi,

Labda vyeo vya ukurugenzi
 
Kwa hiyo mkuu wa majeshi ni superman.. You r wrong!
Nadhani kuna nafasi ukikaa unapata access ya info za siri zaidi kuzidi wengine. Hii ni fact ingawa haiwafanyi wahusika kuwa mungu, kwani bado kuna info wanakuwa hawana na ni jukumu lao kuzitafuta wasizozijua. Hii ni practice katika dola mbalimbali. Mara nyingi anakuwa mlaji mkuu wa taarifa na mpelekaji mkuu wa taarifa.
 
Katiba ilifatwa badae but mwanzo lazima wanaume waitane na wajue makamu atapokeaje je kama angepokea Kwa mstuko na yeye akafa?

Unadhania ni Jambo Rahisi kuona unaenda kuwa Rais wa Inchi?
Bado mtoto wewe ndio maana unakariri kariri mambo, haya unayoongea yamekuzidi umri hujui lolote zaid ya akili ya kukariri..
 
Magufuli aliweza kuagiza Mapadri waende, lakini alishindwa kuagiza aitiwe Makamu wake, hata amuachie wosia juu ya Majukumu anayomuachia, naona bado kuna vumbi halijatuama, nasubiri story zaidi.
Magufuli alikuwa anajua ni kipi kinamuua,na kwa nn anauawa,na ana uawa na akina nani.hivyo kutokupata taarifa mapema kwa mkamu wa rais ni jambo la kawaida tu,japo hata makamu naye alikuwa anajua kila kitu kinachoendelea.
 
Yani wewe ni 0
 
Nimeshangaa pia:
  • Dar es Salaam walikuwepo watatu: CDF, IGP & DGIS
  • Makamu wa Rais alikuwa Tanga, Waziri Mkuu alikuwa mkoani (Dodoma or elsewhere)
  • Lakini Waziri Mkuu aliitwa na alipata taarifa mapema, kabla ya Makamu wa Rais
Something is fishy here.
Alikua mbeya
 
Prof. Mchembe ni mkurugenzi mkuu wa Mzena Memorial Hospital
 
Boss tunaongele mambo ya Nchi Mzee.....ishu ya mke inakujaje hapa, Yani uwe rais WA Nchi uone kabisa huna pa kutokea uite mkeo, unaniangusha Boss, ukishakuwa na madaraka makubwa kama ya Urais inakuwa Nchi kwanza, mambo ya familia badae.
......"At his side, was his dear wife Madame Monica Geingos and his children.”

In 2013, Geingob underwent brain surgery, and in 2023 he underwent an aortic operation in neighbouring South Africa."
Hage Geingob, Namibia’s president, dies aged 82 after cancer treatment.
Watu wanaofikiri kama wewe ndio wameifanya Tanzania kuwa kwenye lindi la umaskini kwa kufikiri ujinga kama huu unaousema hapa..kwa hiyo Namibia hawajui huo usalama wa nchi unaousema..peculiar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…