Bado mtoto wewe ndio maana unakariri kariri mambo, haya unayoongea yamekuzidi umri hujui lolote zaid ya akili ya kukariri..
Magufuli alikuwa anajua ni kipi kinamuua,na kwa nn anauawa,na ana uawa na akina nani.hivyo kutokupata taarifa mapema kwa mkamu wa rais ni jambo la kawaida tu,japo hata makamu naye alikuwa anajua kila kitu kinachoendelea.
π€πππ‘οΈNimeshangaa pia:
Something is fishy here.
- Dar es Salaam walikuwepo watatu: CDF, IGP & DGIS
- Makamu wa Rais alikuwa Tanga, Waziri Mkuu alikuwa mkoani (Dodoma or elsewhere)
- Lakini Waziri Mkuu aliitwa na alipata taarifa mapema, kabla ya Makamu wa Rais
ππ€πMagufuli aliweza kuagiza Mapadri waende, lakini alishindwa kuagiza aitiwe Makamu wake, hata amuachie wosia juu ya Majukumu anayomuachia, naona bado kuna vumbi halijatuama, nasubiri story zaidi.
Ni Magufuli ndio alijitengenezea hayo mazingira, alimpuuza makamu wake. Magufuli alikuwa hajali mambo ya katiba. Kuna uhuni walitaka kuufanya nafikiri kuna kitu walistuka, ndio maana Samia akamwondoa Mabeyo kabla ya muda wake. Hata hivyo Mabeyo angetulia tu aachane na hayo mambo hayo. Si vizuri CDF kuongeaongea, mbona wenzake kina Mwamunyange wako kimya? Msukuma ni msukuma tu1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais.
2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa kufahamishwa) ili kuhakikisha tu usalama wa nchi upo vizuri.
3. Makamo wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais inaendeleaje.
4. CDF anachukua majukumu ya kuwa msaidizi mkuu wa Rais na mtoa taarifa kwa Makamo kuwa Rais amefariki (Kosa kubwa) mbaya zaidi Makamo wa Rais anakuwa mtu wa nne kuambiwa baada ya Waziri mkuu, CS na Taasisi ya kiswahili (Baada ya kujadili mpaka cheo cha Amiri jeshi mkuu)
Kosa ni la nani? Hayati Magufuli kujiundia kikundi chake cha siri kwa mambo yao huku wakimuondoa Makamo? Wasaidizi wake wakati Rais ni mgonjwa? Makamo wa Rais yupo Tanga anaongea kawaida tu huku Rais yupo kitandani akipigania uhai na wala hajulishwi hadi umauti tena masaa manne mbele baada ya mijadala ambayo kimsingi watu hawaijui katiba. Inafikirisha.
Sishangai kuona daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe kupotea ulingoni baada ya Samia kuwa Rais? Hivi yuko wapi huyu mtu?
Una chuki nzito sana daah ππππHuyo mkewe mwenyewe alipata taarifa baada ya waziri mkuu na katibu mkuu kujua...mwanamke anabaki kuwa mwanamke kwenye mambo mazito..ndio maana unaona Samia ni rais wa mambo mepesi mepesi..safari za ulaya na arabuni, sherehe za kizimkazi, kucheza ikulu na wasanii pamoja na kina mwijaku na kina steve nyerere, kubadili mitandio na kujifukiza udi kwa chetezo cha umeme..kwenda kuangalia taarabu bwawani hotel.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais.
2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa kufahamishwa) ili kuhakikisha tu usalama wa nchi upo vizuri.
3. Makamo wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais inaendeleaje.
4. CDF anachukua majukumu ya kuwa msaidizi mkuu wa Rais na mtoa taarifa kwa Makamo kuwa Rais amefariki (Kosa kubwa) mbaya zaidi Makamo wa Rais anakuwa mtu wa nne kuambiwa baada ya Waziri mkuu, CS na Taasisi ya kiswahili (Baada ya kujadili mpaka cheo cha Amiri jeshi mkuu)
Kosa ni la nani? Hayati Magufuli kujiundia kikundi chake cha siri kwa mambo yao huku wakimuondoa Makamo? Wasaidizi wake wakati Rais ni mgonjwa? Makamo wa Rais yupo Tanga anaongea kawaida tu huku Rais yupo kitandani akipigania uhai na wala hajulishwi hadi umauti tena masaa manne mbele baada ya mijadala ambayo kimsingi watu hawaijui katiba. Inafikirisha.
Sishangai kuona daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe kupotea ulingoni baada ya Samia kuwa Rais? Hivi yuko wapi huyu mtu?
Kwa hiyo hii hospital ni bora zaid ya hospital za Jeshi ambako ndiko kunapaswa kuwepo huduma za kitabibu za juu zaidi kulingana na mahitaji..wanajeshi wanakwenda vitani na ni kundi kubwa wanahitaji huduma bora za kitatibu..nje ya kutibu viongozi wanapougua hii hospital ya mzena wanamtibu nani? Kwa nini zisiboreshwe zile hospital za jeshi?Prof. Mchembe ni mkurugenzi mkuu wa Mzena Memorial Hospital
Alifungwa nasikia na serikali1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais.
2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa kufahamishwa) ili kuhakikisha tu usalama wa nchi upo vizuri.
3. Makamo wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais inaendeleaje.
4. CDF anachukua majukumu ya kuwa msaidizi mkuu wa Rais na mtoa taarifa kwa Makamo kuwa Rais amefariki (Kosa kubwa) mbaya zaidi Makamo wa Rais anakuwa mtu wa nne kuambiwa baada ya Waziri mkuu, CS na Taasisi ya kiswahili (Baada ya kujadili mpaka cheo cha Amiri jeshi mkuu)
Kosa ni la nani? Hayati Magufuli kujiundia kikundi chake cha siri kwa mambo yao huku wakimuondoa Makamo? Wasaidizi wake wakati Rais ni mgonjwa? Makamo wa Rais yupo Tanga anaongea kawaida tu huku Rais yupo kitandani akipigania uhai na wala hajulishwi hadi umauti tena masaa manne mbele baada ya mijadala ambayo kimsingi watu hawaijui katiba. Inafikirisha.
Sishangai kuona daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe kupotea ulingoni baada ya Samia kuwa Rais? Hivi yuko wapi huyu mtu?
Childish..Kwani katiba gani imevunjwa? Nani alitangaza msiba?
Hata kama jpm angekufa wakati Yuko na madactari Tu unadhani hao madactari wangepiga simu Kwa vice moja Kwa moja?
Lazima wangeanza kujua watu watu wengine then makamu ndio angeambiwa
Nadhani hii ndio point beyo boy ilikuwa Ngoma akomae nayo yeye au ampe mama basMAANA yake ni kwamba Magufuli alikabidhi nchi kwa jeshi. Na nchi iliongizwa na jeshi kwa muda flani hivi ndo wakamkabidhi mama Samia nchi.
Mjini kuna wajuaji tu,lkn watu wakubwa,wenye nguvu na maarufu, wengi wanatokea kijijini.Mama hakuwa Priority kwa Rais JPM. JPM kama angekuwa smart enough , awamu ya pili ilitakiwa aje na makamu mpya, hata Mpango
Hata ishu za ikulu zilikuwa zinavuja inasemekana chanzo ni Mam ,
Mkumbuke mama alitaka kujiuzulu, JPM alikuwa ni mtu wa kuona mambo yanafanyika halafu siasa kidogo, ndio maana alikuwa mkali sana , na ukiwa ni mtu wa kufanya mambo yatokee basi kufanya kazi na watz unaweza hata kupiga watu makofi. Watz ni wavivu watu wa connection na ujanja ujanja
Mama hakuwa anaenda na kasi ya JPM. Walizoea zile siasa za kila kijiji kupewa 50M
Shida kubwa JPM. alikuwa mshamba na ngosha. Alitakiwa kumuweka Mam pembeni round ya pili kama alivofanya JK kwa Edo.
Hakikisheni watoto zenu mnawazaa town
Vitu vingine hufundishwi unatakiwa kuona kwa jicho la eagle
ππ€πππMakamu hakuwa loyal kwa Rais bali kwa wapinzani wake ndani ya Chama
Prof janabi alikuwa akimpa taarifa kikwete na kikwtet anampia makamba nayewapa akina Lisu na Mbowe..Na aliyekuwa akimtonya Tundu Lissu kuwa mbaya wake yuko mahututi ni nani?
..Maana Lissu alikuwa na taarifa kuzidi Samia, Kassimu, Bashiru, hata Mama Janet.
Tukiachana na taratibu za Katiba,
Ukweli ni kuwa Mkuu wa majeshi ana nguvu zaidi ya Makamu wa Rais.
lete ushahidi.Lakini alikuwa sawa sbb kama Ili issue ya barrick ukiisema ovyovyo jamaa usingewakamataMagufuli alikuwa anaishi na Mama samia kinafiki na alikua hamshirikishi kwa mambo mengi tu kifupi samia alikua kama pazia tu pale ikulu na bendera fuata upepo.
Kwangu mim bora hakumpatia kabisa maana ni dhaifuuu .mnoMagufuli aliweza kuagiza Mapadri waende, lakini alishindwa kuagiza aitiwe Makamu wake, hata amuachie wosia juu ya Majukumu anayomuachia, naona bado kuna vumbi halijatuama, nasubiri story zaidi.