hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Bado mtoto wewe ndio maana unakariri kariri mambo, haya unayoongea yamekuzidi umri hujui lolote zaid ya akili ya kukariri..
Kwani katiba gani imevunjwa? Nani alitangaza msiba?
Hata kama jpm angekufa wakati Yuko na madactari Tu unadhani hao madactari wangepiga simu Kwa vice moja Kwa moja?
Lazima wangeanza kujua watu watu wengine then makamu ndio angeambiwa