CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

Hicho ulicho andika unarefer kutoka wapi,wewe unazani yule kanali alikuwa anaripoti kwa nani?
 
Hiyo ndo siri kubwa kwaninkama wangekuwa karibu ungekuta watu wanaanza kuijpanga kuchukua fursa na hivyo kuelta mtafaruku kwenye nchi
 
Sure
Wamama tuna mioyo miepesi mno kuweza kubeba taarifa nzito
 
Ni kivumbi
Hata mm binafsi siwezi kuhimili taarifa za msiba hospital
 
Makamo ndo kitu gani?
 
Nimeshangaa pia:
  • Dar es Salaam walikuwepo watatu: CDF, IGP & DGIS
  • Makamu wa Rais alikuwa Tanga, Waziri Mkuu alikuwa mkoani (Dodoma or elsewhere)
  • Lakini Waziri Mkuu aliitwa na alipata taarifa mapema, kabla ya Makamu wa Rais
Something is fishy here.
Tushangae wote, hadi anafikia hiyo hatua, familia yake hisijue?
 
Kwahiyo wewe ndiye unajua kuliko wao? Wabongo wanapenda kukuza mambo, unaweza kujikuta watu wanakufahamu kuliko wewe mwenyewe unavyojijua
 
Makonda anajua alipo.

Mi nahisi labda ilitokana na utaratibu wa kiislam,usiomruhusu mwanamke kuwaongoza wanaume. Huenda kwanza walikaa wakalijadili na kuona siyo picha nzuri. Pengine na kushauliana mpaka wanaafikiana.
Kwa akili za wengi,raisi ni msimamizi,lakini mamlaka ya kuamua anavyotaka,sidhani kama anayo.
 
Yaani kweli unaona sasa unakufa na una nafasi ya kutubu. Umuite Kiongozi umwachie wosia wa namna ya kuendelea na majukum na uache njia ya kutengeneza njia yako huko uendako? Inashangaza sana.
Upumbavu wako leo upo kiwango cha juu sana.
 
Umedanganya kusema BAKITA walijua kifo kabla ya makamu wa rais..
 
Mi naona mnaropoka tuu…katiba iko wazi wangefanya nini?…. Lazima tujiulize kwanini makamo alikuwa ana wekwa mbali? Unafikiri hakujua alikuwa anaumwa? Unafikiri nani alikuwa anampa habari Lissu?
Wanasema ” betrayal is not an act of enemy is an act of friend”
 
Tena Magu alivuta siku nyingi kabla hata ya hiyo siku iliyotajwa...ushahidi ni mazoezi ya brass band za jeshi yaliyokuwa yakiendelea karibia wiki 2 kabla kifo cha Magu hakijatangazwa rasmi, kama afanyavyo Msechu tu yan
Sasa ulitaka taarifa itangazwe bila maandalizi? Kwani yule alikuwa mjumbe wa shina mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…