CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

Magufuli alikuwa anajua ni kipi kinamuua,na kwa nn anauawa,na ana uawa na akina nani.hivyo kutokupata taarifa mapema kwa mkamu wa rais ni jambo la kawaida tu,japo hata makamu naye alikuwa anajua kila kitu kinachoendelea.
nakupa maua yako
 
Umeelezea vyema mkuu. Humu majitu mengi hayana Common sense kabisa.
 
Chain of command
PRESIDENT >>V. P>>P. M huyo CDF ni mbali Sana anaripoti kwa waziri wa Ulinzi, Inakuwaje top secret ifahamike na CDF halafu VP na PM wasijue?

Pengine mwendazake alihisi kuna wasaliti hivyo akaamua kuvunja chain of command??
CDF ni Nyeti sana mzee, hayupo kwenye Succession Plan ila Ni top sana na ana Clearance kubwa kuliko hao uliowataja, V.P na Waziri wa Ulinzi ni maboss kwa CDF kwa macho ya Juu tu ila kati ya CDF, VP na Waziri, Top inner circle ya Rais apo Ni Mkuu wa Majeshi
 
Umeandika ujinga mtupu. Mabeyo kaingia Jeshini 1977. Ulitegemea awe Jeshini hadi leo hata kama ni CDF ni lazima angekuwa amestaafu tu, kwahiyo ficha ujinga wako.
 
Mkuu hakuna unalolijua...CDF halipoti Kwa Waziri Wa ulinzi

Usilolijua,Waziri Wa ulinzi Ni ceremonial leader Hana nguvu Yoyote jeshini...Hana hata nguvu ya kuwaamrisha Mabrigedea

Ndio maana Kangi Lugola alivyo kuwa anawapelekesha Akina IGP au Mkuu Wa magereza..JPM alimstua Kangi kuwa wengine Wana report kwake (RAIS) directly..Na Sio Kwa Waziri

Mkuu Wa majeshi anareport directly Kwa Rais, pia Waziri Wa ulinzi, baadhi YA vitu vingi vya kijeshi huwa anarukwa..taarifa zinaenda Kwa Rais directly ndio maana wakati Rai's JPM anaumwa..huoni sehemu ya kuwa Waziri Wa Ulinzi kipindi hicho Hussein Mwinyi aliitwa...hakuwepo..ndio ujue huwa anarukwa...Na hutaaikia hata siku moja Waziri Wa ulinzi, akiwa anatoa Amri Kwa kada ZA chini yake
 
Kumbe Magu aliweza hadi kuwaita mapadri nyumbani baada ya kuona hali yake imedhoof? Na vipi kuhusu maneno ya kwamba alikauka kitambo tofauti na tarehe tuliyoambiwa na mama?

Nyumbani au hospital? Muwe munasoma vizuri
 

Huseni alikuwa Rais wa Zanzibar
 
Unajua Msaidizi wa Amiri Jeshi Mkuu ni nani? Ni CDF.
 
Weee kumbe Hussen MWINYI alikuwa hajawa Rais wa Zanzibar wakati Magufuli anaugua na kufariki?
 
rais ni taasisi kwenye ishu yakiusalama MAGUFURI alikwa ni AMRI JESHI MKUU , sasa tuanzie hapa afya ya amri jeshi mkuu inaweza tishia usalama wa taifa na jukumu la kulinda usalama wa taifa ni lla viongozi wakuu wa majeshi ambao ni CDF IGP NA mkurugenzi wa usalama wa taifa na sio wanasiasa mliotaka wapewe taarifa mapema kama makamu wa rais spika au waziri mkuu wale wanaweza kuwa na interest zao binafsi za kisiasa hivyo kilichofanyika ni sahihi asilimia mia moja ndio maana paka sasa kuna amani kudos kwa viongozi wakuu wa majeshi kutuvusha katika wakati ule.
 
Ungenukuu kikatiba na kisheria ingekua Bora zaidi kuhalalisha makosa na kuharamisha kilichotokea.
Infact makamo wa Rais anashughulika tu na mambo ya muungano na mazingira. Hana hiyo power unayofikiri! Hebu jiulize hata Sasa PM na VP Nani ananguvu katika maagizo ya kiutendaji? Huoni Kama VP anaishia kushauri tu na kuhudhuria makongamano na uzinduzi? Think big! Na mambo mengine yapo yalivyo politically
 
Wakati JPM anaumwa 2021 , Hussein Mwinyi hakuwa waziri tayari alishakuwa Rais wa Zanzibar

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mabeyo amestaafu kwa mujibu wa sheria hizo habari zako amemuondoa zimetoka wapi
 
Makamu hakuwa loyal kwa Rais bali kwa wapinzani wake ndani ya Chama
Tena alisibiria afe na alifahamu kabisa mikakati yote ya kumuua wakamtumia Prof Janabi ambaye wamempatia platform kwenye media ili watanzania wasahu kuwa ndiye muuaji mkuu wa Dkt Magufuli, Dkt Samia na genge lake hawawezi kwepa lawama. Uzuri karma is real, ni suala la muda
 
Magufuli aliweza kuagiza Mapadri waende, lakini alishindwa kuagiza aitiwe Makamu wake, hata amuachie wosia juu ya Majukumu anayomuachia, naona bado kuna vumbi halijatuama, nasubiri story zaidi.
Mkewe je?
 
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…