Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Kwa mtazamo wangu mkuu wa Majeshi, aliepita ( Mabeyo).ameweka Alama au histolia kwa Majeshi ya Afrika, ninachowaza ni kua ameacha Alama na Elimu kwa Majeshi mengine ya Afrika.
Na hili nimeliwaza baada ya Rais kufa,Mkuu wa Majeshi alikua imara kusimamia majukumu yake hiki ndicho, Mimi nimewaza kua ameweka rekodi ya Pekee kabisa, Rais kufa Madarakani na kufuata mfumo wa katiba unachotaka.
Hili ndilo naona litakuja kutumika katika Majeshi ya Nchi Zingine za Afrika kuwafunza litakua ni Muongoni mwa mifano au Funzo kwa wanajeshi na Majeshi ya Afrika huo mtazamo wangu
History ya Mabeyo hata ikiandikiwa kitabu/ Documentary mi naona itakua nibonge la Funzo na Elimu ya uadilifu wa Mwanajeshi na Jeshi kwa ujumla.
Mi Binafsi namsifu na kumuona ni mtu. Binafsi mwenye uadilifu na anefuata muongozo wa kazi yake
Kiafrika jamaa kafanya kazi nzuri sana. Hajaonyesha uchu wa madalaka.
Note: kwa mtazamo wangu nilionao Rukhusa kuelekezwa na kukosolewa