Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 24, 2024 #21 Zambia marais wemwahi kufia madarakani mara mbili Namibia Rais amefia madarakani 2024 Malawi Rais amewahi kufia madarakani 2012 Ghana Rais alifia madarakani 2012 Tunisia Rais alifia madarakani 2019
Zambia marais wemwahi kufia madarakani mara mbili Namibia Rais amefia madarakani 2024 Malawi Rais amewahi kufia madarakani 2012 Ghana Rais alifia madarakani 2012 Tunisia Rais alifia madarakani 2019
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Dec 24, 2024 #22 Juuchini said: Katuletea shangingi la kizimkazi Ameacha alama gani? Click to expand... Uko sahihi. Kiongozi wa chombo cha ulinzi mzuri ni yule anayetumia intelijensia kuamua mambo nyeti. Huyu alisimamia kama roboti. Samia alijulikana kabisa hana uwezo mpaka kwa watoto.
Juuchini said: Katuletea shangingi la kizimkazi Ameacha alama gani? Click to expand... Uko sahihi. Kiongozi wa chombo cha ulinzi mzuri ni yule anayetumia intelijensia kuamua mambo nyeti. Huyu alisimamia kama roboti. Samia alijulikana kabisa hana uwezo mpaka kwa watoto.