CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

Hii ni Moja ya taasisi yenye kuogopeka na mipango ya Siri Dunia mzima wakitaka lao nchi yeyote linafanyika Kwa mipango madhubuti.Ogopa sana katoliki.
marais wengi huenda 'kusujudu' vatican kwa papa hata kama ni waislam kama ouawatara lazima watie saluti kule au kwa mabalozi wa vatican waliopo katika nchi mbalimbali duniani. Kanisa katoliki ni dola kuu duniani !
 
 
marais wengi huenda 'kusujudu' vatican kwa papa hata kama ni waislam kama ouawatara lazima watie saluti kule au kwa mabalozi wa vatican waliopo katika nchi mbalimbali duniani. Kanisa katoliki ni dola kuu duniani !
Papa alivyokuja Africa watu walijaa hata wasio wa Roma walienda kuabudu, nilitamani angefika na huku.
 
Ina fikirisha sana!!

Sidhani hao jamaa kama wanafurahishwa na upepo unavovuma pande hizi!

Hao jamaa ni wasiri SANA katika mambo yao!!

Baada ya hija yao tusubiri nini kitajiri pande hizi!

Mabeyo hajaenda kule Bure mazee!wana yao hao jamaa KWA kuwa mabeyo SIO mtawa ni mtumishi tu mstaafu!!
Kwanini aende na watawa!!?angeeenda mwenyewe pia ingezua maswali!!

Mungu ibariki Tanzania yetu,ni YETU sote wala sio ya wachache!!!
Labda nikukumbushe tu kuwa hakuna mkubwa nchi hii...every key figure this country is always under close surveillance na uki dare ku mess up chuma kinakuhusu..haijalish wewe ni mabeyoo au jiwe au imrani au nani ukijaribu kuvuka red line umekwisha.. so kuwen na aman tu
 
Papa alivyokuja Africa watu walijaa hata wasio wa Roma walienda kuabudu, nilitamani angefika na huku.
mwaka 1990 enzi za utawala wa raisi wa awamu ya pili alhaj Ally Hassan Mwinyi papa Yohane Paulo wa pili alikujaTanzania. Tangu wakati huo wamekuwepo mapapa wawili na hawajawahi kuitembelea Tanzania
 
sababu kuliweka jeshi la wokovu tanzania ndio maana mabeyo kapongezwa lakini mbona waislamu hawana jeshi tanzania kama jeshi la wokovu na hakuna mbunge anaeuliza hili
Jeshi la wokovu lile la pale kilwa road Kwenye flayover au???
 
sababu kuliweka jeshi la wokovu tanzania ndio maana mabeyo kapongezwa lakini mbona waislamu hawana jeshi tanzania kama jeshi la wokovu na hakuna mbunge anaeuliza hili
salvation Army ni dhehebu au jeshi halisi? Kwani ni la wakatoliki?
 
Sasa waislamu wameingiaje hapa??

Kuna kipindi huwa ni busara kufyata mdomo wako ili kubakiza shaka ya kuwa aidha umuerevu ama mpumbavu kuliko kufungua mdomo na kuondosha shaka yeyote juu ya upumbavu wako.

Mabeyo aende kwa wakatoliki uje kutaja waislamu.
kwani waislam ni kitu gani mpaka utokwe povu kiasi hiki?
 
Jenerali wa wavaa kobazi
555228443.jpg
 
Tanzania hatujawahi kuwa na balozi mkristu kati nchi za kihafidhina za kislamu kama Saudia ila Samia kamteua mwislamu kuwa balozi wetu Vatican, hili limekaaje
Kwa taarifa yako, vatican ina mabalozi katika chi nyingi duniani ambao ni maaskofu. Ila huko vatican hakuna balozi wa nchi yoyote aliyeteuliwa na Rais yeyote duniani.
 
Just imagine kundi moja halitakiwi kuoa,kundi jinginehalitakiwi kuolewa ila wanataka jumapili Kanisa liwe limejaa watu.

2. Wakakufungishia ndoa wanakupa mke au mume ila wao hawahitaji ndoa.

3. Ukiwa mtumishi huko ukaajiriwa na serikali mshahara wote ni wao
Huo ndiyo wito mkuu. Hakuna anayelazimishwa.
 
Ila wamisionali wa Roma, wengi wanakunja Sana, mi bado kidogo ningekuwa Roma, mama mkuu muitaly alikuja kuzuri huku kwenye mashirika yao, kanipenda kataka nikafanye kazi kule makao makuu yao, nikaulizwa nikakubali sawa, ma boss wangu wa huku wamenibania Sina hamu, kwa hasira nikaachaga kazi, Ila wanakujaga nyumbani kuwasalimia wazazi wangu, alafu Kuna shirika jingine dereva kawaendesha waitaly kwenye vivutio, walivyoondoka wakamtumia ice Ile ice dereva kanyimwa hipo pale shirikani.
 
Back
Top Bottom