D
DeletedMember281674
Guest
Kwako CDF MSTAAFU - MABEYO, tunakuomba uingilie kati suala hili naona mrithi wako hili kwake halimhusu, hii tabia ya kuibananga na kuibagaza Imani yetu ya dini yetu ya Roman Catholic ifike mahala ifike mwisho.
Wakatoliki wenzako tunaimani kubwa na wewe unaweza kukemea huu ujinga na upuuzi Unaondelea.
Nikutakie kheri ya Mwaka Mpya 2026.
Wakatoliki wenzako tunaimani kubwa na wewe unaweza kukemea huu ujinga na upuuzi Unaondelea.
Nikutakie kheri ya Mwaka Mpya 2026.