CDF mteule Jenerali Mkunda ni Mkagulu toka Wilaya ya Gairo

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.

Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa).

CDF huyu ni Mkagulu siyo Msukuma kama wengine walivyodhani.
 
Ukabila utatuua jamani
 
Unajipa moyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…