Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukabila ukabila umebaki kwenye matambiko tu !!Ukabila
Ukabila
Ova
Aiseeeeh kuna watu mna akili za kipumbavu, sasa kabila la CDF sisi linatuhusu nini.Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa, amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemwoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa) . CDF huyu ni Mkagulu siyo Msukuma kama wengine walivyozani.
Mambo ya ajabu kabisa, ujuzi wake ndio umempa kazi sio kabila lakeUkabila ukabila na ubaguzi ubaguzi ni Ujinga tuukatae !! CDF ni mtanzania sio mkaguru !! Hongera CDF Jacob Mkunda !! Tunakuombea Afya njema na kazi njema !!
Kweli kabisa !!Mambo ya ajabu kabisa, ujuzi wake ndio umempa kazi sio kabila lake
Kwani umeulizwa na nani kuhusu kabila la CDF mteule?.Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.
Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa).
CDF huyu ni Mkagulu siyo Msukuma kama wengine walivyodhani.
Wasenge kama hawa ndo hatuwataki tanzania.. ukabila unaingiaje hapo...itoshe kusema ni mtanzania..ukabila peleka kenya mavi yakoNdugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.
Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa).
CDF huyu ni Mkagulu siyo Msukuma kama wengine walivyodhani.
Yani ukabila na udini umeshika hatamu.. Hii inatokana na viongozi kuwa weupe kichwaniCDF ni mtanzania sio mkaguru
[emoji57][emoji57]..."Mnataka Kutambika?"...[emoji57][emoji57]Hivi Tanzania tumeanza lini kuulizana makabila?
Hiyo kuuza ndizi zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waruguru noma sanaNyota ya Morogoro inazidi kung'aa miaka ya hivi karibuni. Hatimaye wanatoa Mkuu Mwingine wa Chombo baada ya Yule alikuwa Mkuu wa TISS (Kapilimba).
Pia imeweka record ya kutoa IGP, DGIS na sasa CDF.
Mlogolo oyeee!!! Jaaa Mlekwa kabahatika kugongwa na basi la Abood. Mwee unataka nikuuzie ndizi zote hala nikifika sokoni nitauza nini, kama unataka nunua nusu!!!
Na udiniKulikuwa na haja gani ya kutaja kabila lake?
Sio bure Jaji mstaafu J. S.Warioba amewaonya Watanzania kuacha UKABILA.
...Kwa hiyo wewe unatuljulisha kuwa na Wewe unatoka Bumila au Ng'ambo ?? Ni Mtania... Inatosha.Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.
Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa).
CDF huyu ni Mkagulu siyo Msukuma kama wengine walivyodhani.
Acha ukabila ndugu yangu. Huyu ni mtanzania. That is allNdugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.