CDF mteule Jenerali Mkunda ni Mkagulu toka Wilaya ya Gairo

Aiseeeeh kuna watu mna akili za kipumbavu, sasa kabila la CDF sisi linatuhusu nini.

Cha muhimu ni kwamba Cdf ni mtanzania, period.

Ebu fanya aaaaahh, nikupe ubongo.
 
Kuwa Mkagulu inatuhusu nini. sisi wote ni Watanzania.
 
Ukabila ukabila na ubaguzi ubaguzi ni Ujinga tuukatae !! CDF ni mtanzania sio mkaguru !! Hongera CDF Jacob Mkunda !! Tunakuombea Afya njema na kazi njema !!
Mambo ya ajabu kabisa, ujuzi wake ndio umempa kazi sio kabila lake
 
Nyota ya Morogoro inazidi kung'aa miaka ya hivi karibuni. Hatimaye wanatoa Mkuu Mwingine wa Chombo baada ya Yule alikuwa Mkuu wa TISS (Kapilimba).

Pia imeweka record ya kutoa IGP, DGIS na sasa CDF.

Mlogolo oyeee!!! Jaaa Mlekwa kabahatika kugongwa na basi la Abood. Mwee unataka nikuuzie ndizi zote hala nikifika sokoni nitauza nini, kama unataka nunua nusu!!!
 
Kwani umeulizwa na nani kuhusu kabila la CDF mteule?.
 
Wasenge kama hawa ndo hatuwataki tanzania.. ukabila unaingiaje hapo...itoshe kusema ni mtanzania..ukabila peleka kenya mavi yako
 
Kulikuwa na haja gani ya kutaja kabila lake?

Sio bure Jaji mstaafu J. S.Warioba amewaonya Watanzania kuacha UKABILA.
 


Tanzania Nchi Ngumu, Sana Leo Karne Ya 21 Tunazungumzia Kabila

Kazi Ya Kabila Ni Kutambika Tu!!!
 
Hiyo kuuza ndizi zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waruguru noma sana
 
...Kwa hiyo wewe unatuljulisha kuwa na Wewe unatoka Bumila au Ng'ambo ?? Ni Mtania... Inatosha.
 
Acha ukabila ndugu yangu. Huyu ni mtanzania. That is all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…