GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Kutokana na cdm kuomba kumlamba miguu JK ili abadilishe mtazamo wa kusaini muswada wa katiba, hii yaonyesha km cdm wamealikwa kunywa chai na kupiga picha na mkuu huyo wan chi halafu kuondoka. Hakuna kipya watakacho kwenda kumwambia rais na kwa kweli cdm wameshikwa pabaya aisee. Dola sio mchezo !

Wewe hapa umefanyaje?Ma great thinkers tuwe tunaangalia threads za kuchangia, sio hizi za ku.cha.mbia.
Tunampa kichwa huyu punga.
kwani hawewezi kuingia ikulu kwa mwaliko wa futari?????????Kutokana na cdm kuomba kumlamba miguu JK ili abadilishe mtazamo wa kusaini muswada wa katiba, hii yaonyesha km cdm wamealikwa kunywa chai na kupiga picha na mkuu huyo wan chi halafu kuondoka. Hakuna kipya watakacho kwenda kumwambia rais na kwa kweli cdm wameshikwa pabaya aisee. Dola sio mchezo !
Genius Brain still alive!!
Eti genius brain.????????????
Don't live on wishes,...
Kutokana na cdm kuomba kumlamba miguu JK ili abadilishe mtazamo wa kusaini muswada wa katiba, hii yaonyesha km cdm wamealikwa kunywa chai na kupiga picha na mkuu huyo wan chi halafu kuondoka. Hakuna kipya watakacho kwenda kumwambia rais na kwa kweli cdm wameshikwa pabaya aisee. Dola sio mchezo !
Acha ukilaza unadhani CDM ni sawa na Jk anayehongwa suti na kukubali sera ya ushaoga?
Naomba JK hawakaribishe vizuri hawaandalie Mtori na Kisusio!
Pamoja na Mbege
Naomba JK hawakaribishe vizuri hawaandalie Mtori na Kisusio!
Pamoja na Mbege
Kutokana na cdm kuomba kumlamba miguu JK ili abadilishe mtazamo wa kusaini muswada wa katiba, hii yaonyesha km cdm wamealikwa kunywa chai na kupiga picha na mkuu huyo wan chi halafu kuondoka. Hakuna kipya watakacho kwenda kumwambia rais na kwa kweli cdm wameshikwa pabaya aisee. Dola sio mchezo !
Inaelekea nchi hii ina wasemaji wengi wa Ikulu, au tuite waandishi wa rais, au wakuu wa kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu. Kuna mtu humu (Pasco) jana aliapa kwamba kamwe rais hatataka mazungumzo na mtu na ataupitisha muswada kwa mbwembwe bila ya kufanya maongezi na mtu; kabla hayajapita hata masaa sita, ikulu ikatoa tamko kuwa imekubali ombi la CDM, sasa Pasco anaona hata aibu kulogin humu JF. Sasa hivi anatokea 'afisa habari' mwingine wa ikulu anasema hakuna kipya CDM watakachomwambia rais. Jamani kama ndo hivi, ombeni ajira ikulu muwe wafanyakazi rasmi ili mtoe taarifa sahihi !!Kutokana na cdm kuomba kumlamba miguu JK ili abadilishe mtazamo wa kusaini muswada wa katiba, hii yaonyesha km cdm wamealikwa kunywa chai na kupiga picha na mkuu huyo wan chi halafu kuondoka. Hakuna kipya watakacho kwenda kumwambia rais na kwa kweli cdm wameshikwa pabaya aisee. Dola sio mchezo !
Chadema wameona mzee wa kaya alivokuwa anatamani kuongea nao.. Wamefanya hilo kumsaidia yeye!! Mwenyewe anaona umaarufu kukutana na makamanda wa CDM, kama ni uongo, mbona amewajibu kwa kusikia taarifa ya vyombo vya habari tu???!!! Kwa nini asisubiri kupelekewa barua ya kuomba kuonana nae ndio a respond??!!
Kimsingi chadema hawaendi kuongea nae, hawaendi kufanya nae conversation, Wanaenda kumuelekeza na kumwambia wewe GeniusBrain unafikiri JK ataongea nini mbele ya MBowe na Slaa kama sio kuwa sikiliza tu na kufanyia kazi??!!
MENE-MENE - TEKELI - NA - PERESI Anaesoma na afahamu
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)Halafu cha kusikitisha ni kuwa tarehe za kuhudhuria kesi zao mahakamani nazo zinawapa shida: "huku hayuko huku hayuko, ankula huu".
Bora waende wakakubali tu yaishe:
Kitakachojiri ni kama ulivyoeleza, na kwa kuongezea tu, watatoka watatangaza tumefikia muafaka na tutaendelea kuhudhuria vikao vya bunge na tumekubaliana kuwa kama tunapingamizi lolote mswaada tutausitisha kwa njia za kisheria mahakamani na/au tutapeleka Bungeni hoja ya kubadilisha vifungu vya kanuni kwenye hiyo sheria iliyosainiwa. Kwishnei, hakuna zaidi.
Kikwete mkataba atausaini kwani magwanda hawana oja za kwenda kuongea zaidi ya kutafuta pa kutokea na njia rahisi na ya ubunifu ni hii walioitumia, nnampa heko aliyewashauri hilo.
Na huu ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa maandamano na kususasusa wakitoka huko wanakuja na staili ya kisiasa zaidi kama tulivyoona kwa CUF.
Hii inanifanya nimkumbuke sana Uncle Zomba huwa anasema hao wote ni "system" wanadanganya Watanzania tu. Ikifika siku wanaitwa wanaambiwa haya geukeni huko sasa pametosha, yote danganya toto.
Magwanda vipi kuhusu David Cameron, naona hawajaongelea chochote kuhusu hilo.