Halafu cha kusikitisha ni kuwa tarehe za kuhudhuria kesi zao mahakamani nazo zinawapa shida: "huku hayuko huku hayuko, ankula huu".
Bora waende wakakubali tu yaishe:
Kitakachojiri ni kama ulivyoeleza, na kwa kuongezea tu, watatoka watatangaza tumefikia muafaka na tutaendelea kuhudhuria vikao vya bunge na tumekubaliana kuwa kama tunapingamizi lolote mswaada tutausitisha kwa njia za kisheria mahakamani na/au tutapeleka Bungeni hoja ya kubadilisha vifungu vya kanuni kwenye hiyo sheria iliyosainiwa. Kwishnei, hakuna zaidi.
Kikwete mkataba atausaini kwani magwanda hawana oja za kwenda kuongea zaidi ya kutafuta pa kutokea na njia rahisi na ya ubunifu ni hii walioitumia, nnampa heko aliyewashauri hilo.
Na huu ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa maandamano na kususasusa wakitoka huko wanakuja na staili ya kisiasa zaidi kama tulivyoona kwa CUF.
Hii inanifanya nimkumbuke sana Uncle Zomba huwa anasema hao wote ni "system" wanadanganya Watanzania tu. Ikifika siku wanaitwa wanaambiwa haya geukeni huko sasa pametosha, yote danganya toto.
Magwanda vipi kuhusu David Cameron, naona hawajaongelea chochote kuhusu hilo.