Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Naipongeza shinyanga
- Napongeza Arusha
- Napongeza Pwani
Wengine jionesheni, muda wa kuanguka na kupumzika siasa kwa FAM umefika. Ni aibu taasisi kubwa inayopigania maendeleo ya demokrasia duniani kuwa na kiongozi kama FAM anayeishi kama mfalme.
Nashauri tu.