Wengine jionesheni, muda wa kuanguka na kupumzika siasa kwa FAM umefika. Ni aibu taasisi kubwa inayopigania maendeleo ya demokrasia duniani kuwa na kiongozi kama FAM anayeishi kama mfalme.
Mikoani muda sanaaa,na ndo hawa wanapiga spana pia magroup/mitandaoni mwanzo mwisho.
In short machawa wale waliopandikizwa kwa hisani ya uenyekiti wa mkoa/kanda ndo matumbo yao yanawawasha kwa ajili ya viposho ila mikoani wamenyooka kabisaaaaa