Kweli mkubwa ni mkubwa kama ilivyo uswazi ukitaka kujua habari za matajiri waulize masikini, hahahaaa hapa JF UKITAKA KUJUA HABARI ZA SIMBA WALA USIPATE SHIDA WEWE WASUBIRI UTO WATAKULETEA HABARI ZOOOTE. Yaani kama huyu mtoa huu utopolo heading inamtaja Siza ila habari ni simba simba mwanzo mwisho hahahaha
Hahahaa siwezi mfokea nyani mimi (kwa mujibu wa kocha Luc Aymael) kwani hata nielewa. Hapo either ubadilishe heading au habari ya ndani maana haviendani mana ni utopolo mtupuMbona unanifokea? [emoji23][emoji23]
Hongereni matajiriMakolo hawana pesa,yanga pekee ndo wamesajili kwa pesa ndefu msimu huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan anawehukwa vibayaa mnooo, na hana analolijuaMilioni 100,000 mzee si mchezo, [emoji23][emoji1787]
Milioni laki Moja (Milioni 100,000) ni sawa na 100,000,000,000?Msaada kubwa unahitajika Msimbazi kuhakikisha wanachangia pesa takribani Milion 100,000/= ili kuhakikisha wanaenda kuvunja mkataba wa Manzoki.
Vinginevyo Rais wa klabu ya Vipers SC ameweka bayana kuwa mchezaji huyo hatoondoka klabuni hapo mpaka pale mkataba wake utakapo isha mnamo Oktoba 30, 2022.
Ikumbukwe kuwa rais wa klabu hiyo anatarajia kuwasilisha jina la manzoki CAF kwa ajili ya michuano ya CAF CL itakayo anza hapo baadaye.
View attachment 2295234
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] soon utafurahishwaaa.
Lewandowski alifanya mazoezi na team siku 4, ila leo habari unayo ya kinachoendelea.
Manzoki in DA houseee, mtateseka huu mwaka, woiiiiiiih.
Byuti byuti