Ceaser Manzoki Ajiunga Kambini na Vipers SC Kwa Ajili ya Maandalizi ya Msimu Ujao UPL

Ceaser Manzoki Ajiunga Kambini na Vipers SC Kwa Ajili ya Maandalizi ya Msimu Ujao UPL

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Msaada kubwa unahitajika Msimbazi kuhakikisha wanachangia pesa takribani Milion 100 ili kuhakikisha wanaenda kuvunja mkataba wa Manzoki.

Vinginevyo Rais wa klabu ya Vipers SC ameweka bayana kuwa mchezaji huyo hatoondoka klabuni hapo mpaka pale mkataba wake utakapo isha mnamo Oktoba 30, 2022.

Ikumbukwe kuwa rais wa klabu hiyo anatarajia kuwasilisha jina la manzoki CAF kwa ajili ya michuano ya CAF CL itakayo anza hapo baadaye.

View attachment 2295234
 
Makolo hawana pesa,yanga pekee ndo wamesajili kwa pesa ndefu msimu huu
 
Simba hawana uwezo wa kumsajili Caesar Manzoki kama ambvyo walishindwa kwa Victorien Adebayor
 
Kweli mkubwa ni mkubwa kama ilivyo uswazi ukitaka kujua habari za matajiri waulize masikini, hahahaaa hapa JF UKITAKA KUJUA HABARI ZA SIMBA WALA USIPATE SHIDA WEWE WASUBIRI UTO WATAKULETEA HABARI ZOOOTE. Yaani kama huyu mtoa huu utopolo heading inamtaja Siza na vipers, ila habari yooote ni simba simba mwanzo mwisho hahahaha
 
Makolo ni mdomo tu hawana issue,, Nina mashaka kwenye ngao ya jamii hawatoleta timu
 
Kweli mkubwa ni mkubwa kama ilivyo uswazi ukitaka kujua habari za matajiri waulize masikini, hahahaaa hapa JF UKITAKA KUJUA HABARI ZA SIMBA WALA USIPATE SHIDA WEWE WASUBIRI UTO WATAKULETEA HABARI ZOOOTE. Yaani kama huyu mtoa huu utopolo heading inamtaja Siza ila habari ni simba simba mwanzo mwisho hahahaha

Mbona unanifokea? [emoji23][emoji23]
 
Mbona unanifokea? [emoji23][emoji23]
Hahahaa siwezi mfokea nyani mimi (kwa mujibu wa kocha Luc Aymael) kwani hata nielewa. Hapo either ubadilishe heading au habari ya ndani maana haviendani mana ni utopolo mtupu
 
Hahahaa siwezi mfokea nyani mimi (kwa mujibu wa kocha Luc Aymael) kwani hata nielewa. Hapo either ubadilishe heading au habari ya ndani maana haviendani mana ni utopolo mtupu

Si tumeelewana maelezo yawe mafupi mafupi?[emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] soon utafurahishwaaa.

Lewandowski alifanya mazoezi na team siku 4, ila leo habari unayo ya kinachoendelea.

Manzoki in DA houseee, mtateseka huu mwaka, woiiiiiiih.

Byuti byuti
 
Bila shaka huyu MANZOKI sio mchezaji wa mchezo mchezo mbona UMBWA za kijani zinamzungumzia kwa hofu namna hii?

NB: MANZOKI NI MCHEZAJI HALALI WA SIMBA UKIKUUMA CHOMOA HUO MWIKO ULIO NYUMA KWENU ENYI MBWA WA KIJANI.

MANZOKI KUTAMBULISHWA SIMBA NI SWALA LA MUDA TUU.
 
Msaada kubwa unahitajika Msimbazi kuhakikisha wanachangia pesa takribani Milion 100,000/= ili kuhakikisha wanaenda kuvunja mkataba wa Manzoki.

Vinginevyo Rais wa klabu ya Vipers SC ameweka bayana kuwa mchezaji huyo hatoondoka klabuni hapo mpaka pale mkataba wake utakapo isha mnamo Oktoba 30, 2022.

Ikumbukwe kuwa rais wa klabu hiyo anatarajia kuwasilisha jina la manzoki CAF kwa ajili ya michuano ya CAF CL itakayo anza hapo baadaye.

View attachment 2295234
Milioni laki Moja (Milioni 100,000) ni sawa na 100,000,000,000?
 
Kwa hiyo amekuja Bongo kimya kimya, na ameondoka kimya kimya! Basi sawa. Mugalu yupo.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] soon utafurahishwaaa.

Lewandowski alifanya mazoezi na team siku 4, ila leo habari unayo ya kinachoendelea.

Manzoki in DA houseee, mtateseka huu mwaka, woiiiiiiih.

Byuti byuti

Sasa barcelona hawakungoja mkataba wa Lewandowski uishe.

Walikuwa na pesa za kumnunua.

Nyinyi hamna pesa...[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom