Bila shaka huyu MANZOKI sio mchezaji wa mchezo mchezo mbona UMBWA za kijani zinamzungumzia kwa hofu namna hii?
NB: MANZOKI NI MCHEZAJI HALALI WA SIMBA UKIKUUMA CHOMOA HUO MWIKO ULIO NYUMA KWENU ENYI MBWA WA KIJANI.
MANZOKI KUTAMBULISHWA SIMBA NI SWALA LA MUDA TUU.
Kama walikuwa wametenga milioni 800 tu za usajili na zenyewe za Ku un ga unga unategemea iyo 100 wainyee wapi? Walikuwa wanavizia avunje mkataba wampate kwa bei kitonga sasa wamekaziwa waende wakamlambe miguu tena kanjibhai awape mabango ndo atoe pesa yake ndo maisha waliyobaki nayo kwa sasaMsaada kubwa unahitajika Msimbazi kuhakikisha wanachangia pesa takribani Milion 100 ili kuhakikisha wanaenda kuvunja mkataba wa Manzoki.
Vinginevyo Rais wa klabu ya Vipers SC ameweka bayana kuwa mchezaji huyo hatoondoka klabuni hapo mpaka pale mkataba wake utakapo isha mnamo Oktoba 30, 2022.
Ikumbukwe kuwa rais wa klabu hiyo anatarajia kuwasilisha jina la manzoki CAF kwa ajili ya michuano ya CAF CL itakayo anza hapo baadaye.
View attachment 2295234
Chief, ungejibu swali ungepungukiwa na nini bila ya kusema habari za kidole?Unajiweka kidole halafu unajinusisha mwenyewe. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna utafurahishwaaa. Kuwa mpoleeeehSasa barcelona hawakungoja mkataba wa Lewandowski uishe.
Walikuwa na pesa za kumnunua.
Nyinyi hamna pesa...[emoji23][emoji23]
Kama walikuwa wametenga milioni 800 tu za usajili na zenyewe za Ku un ga unga unategemea iyo 100 wainyee wapi? Walikuwa wanavizia avunje mkataba wampate kwa bei kitonga sasa wamekaziwa waende wakamlambe miguu tena kanjibhai awape mabango ndo atoe pesa yake ndo maisha waliyobaki nayo kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa zipo sanaaa, wala hatuna shida hizo.Mtani umeishiw pesa aisee[emoji23][emoji23]
Msimu huu mna haha kimya kimya.
.Mtani umeishiw pesa aisee[emoji23][emoji23]
Msimu huu mna haha kimya kimya.