Ceaser Manzoki Ajiunga Kambini na Vipers SC Kwa Ajili ya Maandalizi ya Msimu Ujao UPL

Ceaser Manzoki Ajiunga Kambini na Vipers SC Kwa Ajili ya Maandalizi ya Msimu Ujao UPL

Bila shaka huyu MANZOKI sio mchezaji wa mchezo mchezo mbona UMBWA za kijani zinamzungumzia kwa hofu namna hii?

NB: MANZOKI NI MCHEZAJI HALALI WA SIMBA UKIKUUMA CHOMOA HUO MWIKO ULIO NYUMA KWENU ENYI MBWA WA KIJANI.

MANZOKI KUTAMBULISHWA SIMBA NI SWALA LA MUDA TUU.

Inabidi Mkakope sasa kwa Mo Dewji.
 
Msaada kubwa unahitajika Msimbazi kuhakikisha wanachangia pesa takribani Milion 100 ili kuhakikisha wanaenda kuvunja mkataba wa Manzoki.

Vinginevyo Rais wa klabu ya Vipers SC ameweka bayana kuwa mchezaji huyo hatoondoka klabuni hapo mpaka pale mkataba wake utakapo isha mnamo Oktoba 30, 2022.

Ikumbukwe kuwa rais wa klabu hiyo anatarajia kuwasilisha jina la manzoki CAF kwa ajili ya michuano ya CAF CL itakayo anza hapo baadaye.

View attachment 2295234
Kama walikuwa wametenga milioni 800 tu za usajili na zenyewe za Ku un ga unga unategemea iyo 100 wainyee wapi? Walikuwa wanavizia avunje mkataba wampate kwa bei kitonga sasa wamekaziwa waende wakamlambe miguu tena kanjibhai awape mabango ndo atoe pesa yake ndo maisha waliyobaki nayo kwa sasa
 
Sasa barcelona hawakungoja mkataba wa Lewandowski uishe.

Walikuwa na pesa za kumnunua.

Nyinyi hamna pesa...[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna utafurahishwaaa. Kuwa mpoleeeeh
Soon tyuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna utafurahishwaaa. Kuwa mpoleeeeh
Soon tyuuh.

Mtani umeishiw pesa aisee[emoji23][emoji23]

Msimu huu mna haha kimya kimya.
 
Kama walikuwa wametenga milioni 800 tu za usajili na zenyewe za Ku un ga unga unategemea iyo 100 wainyee wapi? Walikuwa wanavizia avunje mkataba wampate kwa bei kitonga sasa wamekaziwa waende wakamlambe miguu tena kanjibhai awape mabango ndo atoe pesa yake ndo maisha waliyobaki nayo kwa sasa

[emoji23][emoji23]

Wanapenda vitonga.
 
Mtani umeishiw pesa aisee[emoji23][emoji23]

Msimu huu mna haha kimya kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa zipo sanaaa, wala hatuna shida hizo.
Subiri ufurahishwee. Woiiiiiih.
 
Mtani umeishiw pesa aisee[emoji23][emoji23]

Msimu huu mna haha kimya kimya.
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom