Ukiambiwa umsajili George Mpole au Fiston Mayele utamsajili nani?Daah Ila we kajamaa ni ka hovyo Sana Sasa mayele ana kipi wakat kazidiwa had na mpole msimu uliopita?
Yaan mayele kuifunga Simba Basi mnaona huyo jmaa ndio kila kitu.
Mara ya mwisho yanga kushinda kimataifa ilikua Lin na huyo mayele alifanya nn?
Manzok hawez Anza yanga Ila makambo anaanza .
Shida una ushabiki mavi kweli
Kwa nini ukubwa wa tatizo upimwe kwa kuweza kuifunga Yanga, na sio C Vita Club, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs na ASEC Mimosas? Au kwa nini usipimwe kwa kuchukua ubingwa mara nne kati ya mara saba zilizopita?....Tatizo hilo liliwapelekea kushinda game 1 kati ya game 7 ambazo wamecheza na Yanga.
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa Manzoki alikuwa anamuweka benchi Mayele pale AS VitaManzoki hawezi kuanza kikosi cha kwanza pale jangwani isipokuwa anaweza kuanza kule msimbazi.
Huu nao ni uongo mzuri.Japo mimi ni mshabiki wa Yanga ila manzoki siyo wa mchezo mchezo ni mtu na nusu alikuwa anamuweka benchi mayele As vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sasa hivi v
Na sasa hivi vipi anaweza kumuweka benchi?
Una taarifa Manzoki alicheza mechi ngapi misimu miwili aliyokua Vita
Uongo mwingine tupunguze
Mmepeleka ofa na mchezaji kakataa, na nyie ndiyo mmefanya dili kuwa gumu kwa Simba baada ya kuona Kambole Ni garasa.Hizi ni tetesi ambazo zimeanzishwa.kwa lengo la kuwapoteza maboya Simba. Simba wana tatizo kubwa sana la mchezaji wa ukabaji na sio box to box. Tatizo hilo liliwapelekea kushinda game 1 kati ya game 7 ambazo wamecheza na Yanga.
Kufanya wasifikirie kuhusu eneo hilo, waandishi wa habari za michezo Uganda wamechukua loop hole ya uwepo wa makamu kwenye Nchi yao kuanzisha hizi tetesi.
Hata ukitumia jicho la kiuchambuzi huwezi amini kama Yanga wanaweza unguza 200,000usd kwa mchezaji back up.
Manzoki hawezi kuanza kikosi cha kwanza pale jangwani isipokuwa anaweza kuanza kule msimbazi.
Hii tetesi inalenga zaidi viongozi wa simba wafocus kwenye kuokoa windo lao zaidi kuliko kutibu ugonjwa wao.
View attachment 2327809
Veerryyy good questionUkiambiwa umsajili George Mpole au Fiston Mayele utamsajili nani?
Kambole ndo anaweza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manzoki hawezi kuwa hata backup ya mayele ila Makambo ndo anaweza sio[emoji23]?
Nimuulize inonga Kwan inonga kazi yake ni kumkaba mayele tu ,alafu nyie ndo mnfanya asibebe ufungaj Bora maana mnlzimisha lakin ndo haiwekan kbisa kuja kubeba kiatu hapa tz coz ni wa kawaida Sana.Ati Mayele ana nini? muuulize Inonga mimwanya
Namchukua mpole coz number don't lie na mpira ni number na sio bla blaUkiambiwa umsajili George Mpole au Fiston Mayele utamsajili nani?
Niliishangaa sana comment yake,😂Kambole ndo anaweza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha mbwembwe wewe Mayele ni striker wa mabeki wa kijiji cha timu za Tanzania tu, kimataifa na EA awaachie akina ManzokiUna taarifa Manzoki alicheza mechi ngapi misimu miwili aliyokua Vita
Uongo mwingine tupunguze
Na Mayele kasema akija Manzoki basi yeye atimue kwa maana hataki tena kuwekwa benchi kama enzi za [emoji1078]as vita kuwekwa benchi.Suala ni alicheza au hakucheza haya sema ukweli wewe sasa!!!