Ceaser Manzoki hawezi hata kuwa Back Up kwa Mayele

Ceaser Manzoki hawezi hata kuwa Back Up kwa Mayele

Daah Ila we kajamaa ni ka hovyo Sana Sasa mayele ana kipi wakat kazidiwa had na mpole msimu uliopita?
Yaan mayele kuifunga Simba Basi mnaona huyo jmaa ndio kila kitu.
Mara ya mwisho yanga kushinda kimataifa ilikua Lin na huyo mayele alifanya nn?

Manzok hawez Anza yanga Ila makambo anaanza .
Shida una ushabiki mavi kweli
Ukiambiwa umsajili George Mpole au Fiston Mayele utamsajili nani?
 
....Tatizo hilo liliwapelekea kushinda game 1 kati ya game 7 ambazo wamecheza na Yanga.
Kwa nini ukubwa wa tatizo upimwe kwa kuweza kuifunga Yanga, na sio C Vita Club, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs na ASEC Mimosas? Au kwa nini usipimwe kwa kuchukua ubingwa mara nne kati ya mara saba zilizopita?
 
Manzoki hawezi kuanza kikosi cha kwanza pale jangwani isipokuwa anaweza kuanza kule msimbazi.
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa Manzoki alikuwa anamuweka benchi Mayele pale AS Vita

1660914312103.png
 

Attachments

  • 1660914173287.png
    1660914173287.png
    98.8 KB · Views: 5
Ko we unaona mechi ya muhimu ni dhidi ya yanga tu??Duh[emoji22]
 
Hizi ni tetesi ambazo zimeanzishwa.kwa lengo la kuwapoteza maboya Simba. Simba wana tatizo kubwa sana la mchezaji wa ukabaji na sio box to box. Tatizo hilo liliwapelekea kushinda game 1 kati ya game 7 ambazo wamecheza na Yanga.

Kufanya wasifikirie kuhusu eneo hilo, waandishi wa habari za michezo Uganda wamechukua loop hole ya uwepo wa makamu kwenye Nchi yao kuanzisha hizi tetesi.

Hata ukitumia jicho la kiuchambuzi huwezi amini kama Yanga wanaweza unguza 200,000usd kwa mchezaji back up.

Manzoki hawezi kuanza kikosi cha kwanza pale jangwani isipokuwa anaweza kuanza kule msimbazi.

Hii tetesi inalenga zaidi viongozi wa simba wafocus kwenye kuokoa windo lao zaidi kuliko kutibu ugonjwa wao.
View attachment 2327809
Mmepeleka ofa na mchezaji kakataa, na nyie ndiyo mmefanya dili kuwa gumu kwa Simba baada ya kuona Kambole Ni garasa.

Yanga mmemtaka Manzoki na amekataa na dunia nzima inajua.Yanga ilihitaji striker mwingine wa maana wa kucheza na mayele au mbadala wa mayele.
 
Ati Mayele ana nini? muuulize Inonga mimwanya
Nimuulize inonga Kwan inonga kazi yake ni kumkaba mayele tu ,alafu nyie ndo mnfanya asibebe ufungaj Bora maana mnlzimisha lakin ndo haiwekan kbisa kuja kubeba kiatu hapa tz coz ni wa kawaida Sana.
Inonga ni beki km walivyo wengine, ndio maana hata yanga tokea ianze lig haijaanza kwa cleensheet lakin haimanish mna beki mbovu ,lbda ukubar kuwa mliporuhusu goli Basi mna beki mbovu sana
 
Back
Top Bottom