BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
ZNZ pigeni hao.
My prediction..
ZNZ 2-1 TANZA
Tff na watu wake hawapo seriazi hata kiduchu na mpira wetu wa Tanzania.
Utabiri wangu umetimia
Mkuu ungebeti correct score ukatia ten..ingependeza zaidi
Hahaha karibu mkuu.Nitafutie chumba ndugu zanzibar Mitaa ya forodhani nataka nihamie huko yote nlikua nayataka kwenye Soka naona yanapatikana Zenji.
Hahaha karibu mkuu.
Zanzibar ni njema na atakae aje.
TFF wanajua uwezo wa soka kwa vijana wa Zanzibar ndio maana figisufigisu wakishirikiana na ZFA ili kupoteza uhalisia.Ila asili haipotei.
Mie ningekuwa Kocha wa Tanganyika,basi ningechagua wachezaji wa Daraja la kwanza kushuka chini.Premier hainawachezaji wazalendo kwa Taifa lao,wengi wanaangalia na kujali maslahi yao kwenye clubs zao