CECAFA, 6/12/2017: Zanzibar Heroes vs Kilimanjaro Stars

c3ec94f7b7494c19db5136e0f513aabf.jpg
 
Nitafutie chumba ndugu zanzibar Mitaa ya forodhani nataka nihamie huko yote nlikua nayataka kwenye Soka naona yanapatikana Zenji.
Hahaha karibu mkuu.
Zanzibar ni njema na atakae aje.
TFF wanajua uwezo wa soka kwa vijana wa Zanzibar ndio maana figisufigisu wakishirikiana na ZFA ili kupoteza uhalisia.Ila asili haipotei.

Mie ningekuwa Kocha wa Tanganyika,basi ningechagua wachezaji wa Daraja la kwanza kushuka chini.Premier hainawachezaji wazalendo kwa Taifa lao,wengi wanaangalia na kujali maslahi yao kwenye clubs zao
 
Kweli kabisa..
 
Back
Top Bottom