Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kawaida bara tunapigwa. sisi mpira hatujuhi tunaweza porojo.
Sidhani kama Siasa itaingia.
Itakua kabumbu la kawaida tu,atakayechanga karata zake vizuri atashinda.
Hahaaa daa nakumbuka kuna game moja Iraq kipindi ile alimlamba Usa goli moja kombe la dunia watu walikesha wakishangilia.
Ila sidhani kama nasi tumefika huko.
Iraq hajawah kutana na us wcHahaaa daa nakumbuka kuna game moja Iraq kipindi ile alimlamba Usa goli moja kombe la dunia watu walikesha wakishangilia.
Ila sidhani kama nasi tumefika huko.
Iran sio IraqIraq hajawah kutana na us wc