CECAFA Challenge Cup

CECAFA Challenge Cup

Mbili bila Cranes wanaongoza Taifa Stars Bila; Mapumziko na hali si nzuri kimchezo

Sijui na leo tutasema Simba au Yanga au Taifa?

Leo tuseme wachezaji wa Simba wanacheza kinazi ndo maana tuna matokeo mabaya hahahahahahahahahah Taifa stars bwana ....naisubiria kwa hamu aibu ya kule kwenye kombe la Afrika...
 
Mbili bila Cranes wanaongoza Taifa Stars Bila; Mapumziko na hali si nzuri kimchezo

Sijui na leo tutasema Simba au Yanga au Taifa?

Seems this tm Waganda ni wazuri sana, Au Maximo hajawapanga wachezaji wa Yanga coz Yanga wana record nzuri huko Ug.
 
Na zenji washaaga mashindano wamepigwa 3-0. Please angieni kwa michuzi mkubwa.

God bless Lili Boyz
 
Na zenji washaaga mashindano wamepigwa 3-0. Please angieni kwa michuzi mkubwa.

God bless Lili Boyz
 
Nataka tuseme wastani wa magoli upoje? kwani nasikia Zenj wameshapata kichapo cha 3 -0. Hivyo mpinzani wetu anajulikana ni Rwanda mwenye point 6 sawa na sisi sasa tusifungwe kiasi gani ili tusinge mbele?
 
Na zenji washaaga mashindano wamepigwa 3-0. Please angieni kwa michuzi mkubwa.

God bless Kili Boyz
 
au niulize Rwanda waliifunga Somalia bao gapi? Najua walichapwa 4 - 0 na uganda na sisi tukawachapa 2 - 0. Hapo wana -6, ukijumlisha na goli zao 3 za leo, wanakuwa na -3. Nataka matokeo yao na Somalia.

Sisi tuna +2 ila kwa kuchapwa hizo 2, sasa tuna goal diffrence ya 0.
 
Seems this tm Waganda ni wazuri sana, Au Maximo hajawapanga wachezaji wa Yanga coz Yanga wana record nzuri huko Ug.
.

Wasomali walituchapa baada ya wachezaji wetu kwenda wakiwa wamevimba vichwa kwamba wameingia fainali za Ivory Costi kwa kishindo, na baada ya kushinda mechi mbili mfululizo wakarudia tena kosa lilelilela kuvimba kichwa na kupanga mchezo kwa historia. Hali hii unaiona hata kwa waandishi wetu wa habari jinsi walivyoandika vichwa vya habari zao leo. Na kama tutaendnda Ivory Costi kwa mawazo kwamba wachezaji wa kulipwa watimu za Afrika Magharibi na Kaskazini hawapo hivyo mambo yatakuwa ize, chamoto tutakiona
 
Rwanda wana goal difference ya -1

ok inatakiwa tusiruhusu goli lingine, au iwe funga nikufunge. Na tukifungwa 3 - 0 tutakuwa na gd inayolingana itakuwaje au ndo mambo ya kura?
 
mabao ni 2-1 , matokeo yakibaki hivi tutakuwa tumefuzu na tutacheza na Harambee stars
 
Kwa msimamo na matokeo yote angalia hiyo link
Code:
http://www.futbolplanet.de/africa/cecafa/cecafa_cup_2008.htm
 
ngumi zimezuka uwanjani, shadrack nsajigwa na mchezaji mmoja wa uganda, bado dk2.
 
mchezaji kevin yondani ameitwa na kupewa RED CARD
 
Mpira umekwisha matokeo 2-1 tumevuka kwenda nusu fainali na tutacheza na harambee stars ya kenya
 
Waamuzi wanatolewa na polisi uwanjani, inaelekea walibabaika sana mnamo dakika za mwisha za kipindi cha pili, nusu fainali jumapili.
 
Katibu wa CECAFA Bw. Musonye ame confirm kuwa mechi ni jumapili saa sita na nusu mchana!!! Mambo ya Africa hayo, hivi kweli kijua cha Kampala kweli eneo la Ikweta mpira saa 6???
 
Back
Top Bottom