ni kweli tumeshafungwa bao mbili bila na sasa ni half time
Mbili bila Cranes wanaongoza Taifa Stars Bila; Mapumziko na hali si nzuri kimchezo
Sijui na leo tutasema Simba au Yanga au Taifa?
Mbili bila Cranes wanaongoza Taifa Stars Bila; Mapumziko na hali si nzuri kimchezo
Sijui na leo tutasema Simba au Yanga au Taifa?
.Seems this tm Waganda ni wazuri sana, Au Maximo hajawapanga wachezaji wa Yanga coz Yanga wana record nzuri huko Ug.
Rwanda wana goal difference ya -1
Rwanda wana goal difference ya -1