CECAFA Challenge Cup

CECAFA Challenge Cup

Jamani ni aibu sana sana...tatizo ni dharau ndio imetufanya tufungwe....
 
Somalia stun lacklustre Tanzania

Somalia pulled off a sensational upset at the East and Central Africa Senior Challenge Cup (Cecafa) on Saturday when they beat Tanzania 1-0.

Somalia, playing their second game in two years, won the Group A match in Kampala thanks to a first half strike by Cisse Abshir.

Taifa Stars, who are using the tournament to prepare for next month's African Nations Championship (CHAN) in the Ivory Coast, were tipped to win the game.

But Abshir's 14th minute effort sealed victory even though Somalia needed resolute defending after the interval to secure the win.

Tanzania's best opportunity fell to striker Danny Mrwanda on 62 minutes but the Kuwaiti-based forward fluffed the chance.

Taifa Stars' Brazilian coach Marcio Maximo was disappointed with his side's display inisisting that Somalia deserved the win.

"Somalia played wonderfully well and it is no surprise that they were rewarded with victory," Maximo said.

Meanwhile, less-fancied Zanzibar held Uganda to a 0-0 draw in the group's other game on Saturday.

Tanzania must win their next match against Zanzibar on Monday to keep alive their hopes of reaching the next stage.

Somalia will take on Rwanda on the same day.

Two matches will be played in Group B on Sunday at the Bugembe stadium in Jinja District.

Group favourites Zambia take on Burundi while Djibouti face Sudan.
 
Yaani hii ni aibu ya hali ya juu. Tunafungwa na Somalia kweli nchi ambayo haina serikali na wanauana kila kukicha sijui hata kama timu yao ilikaa kambini!!! maana nchi nzima imejaa vita vya wenyewe kwa wenyewe!!! Duh! hatuna consistency yeyote katika uchezaji wetu maana tunaweza kufungwa na timu ambazo hazistahili hata kutufunga!!!! Wana kazi ngumu sana ya kuendelea na mashindano hayo maana inabidi washinde mechi zote walizobakisha tena kwa magoli mengi na timu nyingine nzuri kwenye kundi lao kufanya vibaya. Yaani mimi nilidhani tutavuna kapu la magoli kumbe bado ni kichwa cha mwendawazimu!!!!!

Kwani Tanzania tuna serikali?

Usizungumzie kufungwa mpira tu, mbona wanatuzidi hata kiuchumi kwani wana pato la taifa kubwa kuliko sisii. Unataka nikukumbushe zile takwimu?
 
Kwani Tanzania tuna serikali?

Usizungumzie kufungwa mpira tu, mbona wanatuzidi hata kiuchumi kwania wana pato la taifa kubwa kuliko sisii. Unataka nikukumbushe zile takwimu?

Tuache siasa mkuu,yani una maana sisi ni masikini zaidi ya Somalia?Kwa data zipi hizo?GDP?
Embu leta data mkuu mimi siamini hilo!!
 
Tuache siasa mkuu,yani una maana sisi ni masikini zaidi ya Somalia?Kwa data zipi hizo?GDP?
Embu leta data mkuu mimi siamini hilo!!

Usiwe na wasiwasi, kwa maneno halisi, hawatuzidi kwa uchumi: tunao kwenye grupu moja tu la umaskini, yaani hatuchekani. Wao ni wa pili kwa umaskini wakiwa na GDP ya $600 na sisi ni wa nane kwa umaskini tukiwa na GDP ya $800. Hata hivyo in reality ukipiga factor ya kuwa wao wamekuwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miaka 30 ukianzia na ile ya Ogaden mwaka 1977 hadi leo lakini kwenye mapato ya taifa tunawazid kwa dola 200 tu, ni kama vile wanatuzidi sana kiuchumi.
 
Tatizo liko wapi? tuliambiwa hili nchi iendelee inaitaji vitu 3, Siasa Safi, Uongozi bora na Ardhi. Sasa najiuliza kitu gani tulichokikosa mpaka sasa tuko fungu moja na Somalia katika uchumi mbovu?
 
Hao wachezaji naona wamevimba kichwa baada ya kufuzu CHAN wasipoangalia tutaenda kupewa dozi hadi tujute kwa nini tulifuzu
 
Usiwe na wasiwasi, kwa maneno halisi, hawatuzidi kwa uchumi: tunao kwenye grupu moja tu la umaskini, yaani hatuchekani. Wao ni wa pili kwa umaskini wakiwa na GDP ya $600 na sisi ni wa nane kwa umaskini tukiwa na GDP ya $800. Hata hivyo in reality ukipiga factor ya kuwa wao wamekuwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miaka 30 ukianzia na ile ya Ogaden mwaka 1977 hadi leo lakini kwenye mapato ya taifa tunawazid kwa dola 200 tu, ni kama vile wanatuzidi sana kiuchumi.

Kwa mchanganuo huo uko sahihi japokuwa ma figure ya GDP binafsi huwa siyakubali kwa sana.Gap la 200$ ni dogo mno na hasa kwa vile tanzania tuna nafasi nzuri zaidi ya kujiletea maendeleo ukilinganisha na wenzetu wanaochapana kila kukicha.
 
Tatizo liko wapi? tuliambiwa hili nchi iendelee inaitaji vitu 3, Siasa Safi, Uongozi bora na Ardhi. Sasa najiuliza kitu gani tulichokikosa mpaka sasa tuko fungu moja na Somalia katika uchumi mbovu?

Mimi naona tatizo kubwa liko katika uongozi bora,lakini tusiharibu thread ya watu kwani tayari kuna thread imeanzishwa na Kichuguu kwenye jukwaa la siasa-Tanzania disturbing figures.Naona twende huko tukajadili!
 
Kuuwana si tatizo hii ni hulka ya watu kama hao kumuua mwenzie kwake kama kaua mnyama si binadam ili tunachoongelea hapa ni soka ni aibu ila katika soka kama mchezo mwingine lazima uyakubali matokeo aina 3 sare ushinde na ushindwe kuuwana hata congo drc wanauwana,ila wana ligi yao wanatambulika katika caf pia fifa lakini somalia hata ligi hawana wachezaji wanaokotezwa kenya eastlight kwa wala mirungi garisa leo wanawafunga mainland yenye kocha mbrazili? Kweli mpira unadunda kumbe kuna uwezekano india siku moja kuifunga brazil
 
Burundi 1 - Zambia 1
Sudan 1 - Djibouti 1

Kazi ni leo TZ tukipambana na ndugu zetu wa Zanzibar.
 
Kazi kweli sasa wazenji unafikiri wataachia ?
Jee historia inasemaje wanapokutana ndugu hawa
 
Japokuwa dimba huwa halichezwi kwa kuzingatia historia lakini kwa Tanzania bara na Visiwani inaonekana kinyume, na kwa mtaji huu tulioingia nao tunaweza kujikuta tunanyea ndoo. Nakumbuka kuna mwaka Wazenji walikuwa wameshatolewa na Bara tulihitaji suluhu ya aina yoyote tusonge mbele, lakini mpira usivyo na udugu jamaa wakatuchapa na kujikusanyia pointi zao enzi zile zilikuwa mbili. Tusubiri tusikie yatakayojiri
 
Kilimanjaro stars 2, Zanzibar a.k.a wara uroooojo 1
 
Back
Top Bottom