CECAFA Challenge Vs VPL

CECAFA Challenge Vs VPL

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Wadau mnaonaje hili la kusimamisha VPL ili kupisha upuuzi wa Challenge chini ya CECAFA?

Kwa nini ije katikati ya ligi yetu? Wenyeji Kenya wamemaliza ligi yao kwanza ndiyo wakaandaa upuuzi huo.

Ili mashindano hayo yawe na maana, lazima tu harmonize calender za ligi zetu na calendar za FIFA na CAF.

Kenya wajanja sana. Wasingekubali katikati ya ligi yao. Tuache kupelekeshwa ovyo.
 
Let's proposal ya ratiba za ligi na hiyo tupitishe
 
Na tukimaliza CECAFA tarehe 15 December, tunarudi tunacheza mechi moja moja ligi inasimama tena tarehe 30 December mashindano ya MAPINDUZI yanaanza mpaka January 12 this is bongo buanaaaaaa......
 
Ratiba ya CECAFA haiandaliwi na Kenya KFF ... Futa kauli inaaandaliwa na CECAFA...
FAs ndiyo members wa CECAFA ukumbuke. Tanzania ingekataa kama hawawezi ku harmonize calendar za nchi zote
 
FAs ndiyo members wa CECAFA ukumbuke. Tanzania ingekataa kama hawawezi ku harmonize calendar za nchi zote

Wanakataaje wakati calender ipo wazi mwezi wa 12 ni CECAFA CHALLENGE CUP!!?? ni upuuzi wetu maana hata FIFA calender hatuifati ndio iwe CECAFA calender.....!!??
 
Wanakataaje wakati calender ipo wazi mwezi wa 12 ni CECAFA CHALLENGE CUP!!?? ni upuuzi wetu maana hata FIFA calender hatuifati ndio iwe CECAFA calender.....!!??
Mkuu, bado narudi pale pale. Ligi zetu ziishe more or less wakati mmoja. Hiyo Challenge then ipangwe accordingly
 
Mkuu, bado narudi pale pale. Ligi zetu ziishe more or less wakati mmoja. Hiyo Challenge then ipangwe accordingly
OK.. Hapo nimekusoma.... Ligi ya Uganda nyanda, Tanzania, Tanzania ndio kwaaanza zipo mzunguko wa kwanza afu paaaaaapappp CECAFA hiii.... Nimekusoma joooh
 
Na tukimaliza CECAFA tarehe 15 December, tunarudi tunacheza mechi moja moja ligi inasimama tena tarehe 30 December mashindano ya MAPINDUZI yanaanza mpaka January 12 this is bongo buanaaaaaa......
Upuuzi mwingine huo
 
Ilikuwa Afadhali tungendelea na VPL kwa matokeo ya huko. Vipigo toka Zanzibar na Rwanda ambao wamefungwa mechi mbili za awali.
Bado nalia na TFF. Huyo kocha mmeokota wapi?
 
Back
Top Bottom