Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Wadau mnaonaje hili la kusimamisha VPL ili kupisha upuuzi wa Challenge chini ya CECAFA?
Kwa nini ije katikati ya ligi yetu? Wenyeji Kenya wamemaliza ligi yao kwanza ndiyo wakaandaa upuuzi huo.
Ili mashindano hayo yawe na maana, lazima tu harmonize calender za ligi zetu na calendar za FIFA na CAF.
Kenya wajanja sana. Wasingekubali katikati ya ligi yao. Tuache kupelekeshwa ovyo.