FAs ndiyo members wa CECAFA ukumbuke. Tanzania ingekataa kama hawawezi ku harmonize calendar za nchi zote
Mkuu, bado narudi pale pale. Ligi zetu ziishe more or less wakati mmoja. Hiyo Challenge then ipangwe accordinglyWanakataaje wakati calender ipo wazi mwezi wa 12 ni CECAFA CHALLENGE CUP!!?? ni upuuzi wetu maana hata FIFA calender hatuifati ndio iwe CECAFA calender.....!!??
OK.. Hapo nimekusoma.... Ligi ya Uganda nyanda, Tanzania, Tanzania ndio kwaaanza zipo mzunguko wa kwanza afu paaaaaapappp CECAFA hiii.... Nimekusoma jooohMkuu, bado narudi pale pale. Ligi zetu ziishe more or less wakati mmoja. Hiyo Challenge then ipangwe accordingly
V wonderNa tukimaliza CECAFA tarehe 15 December, tunarudi tunacheza mechi moja moja ligi inasimama tena tarehe 30 December mashindano ya MAPINDUZI yanaanza mpaka January 12 this is bongo buanaaaaaa......