duh afwadhari, jamaa hawana adabu hawa, bora wmepigwa mamaee
uku akuna kitu adi katiba mpya ndy mpira tutaweza
Moja ya vitu naweza kuvisema ni kuwapongea Zanzibar kwa mchezo waliouonyesha leo, japo wametolewa kwa penalty lakini wameonyesha bidii na kutokukata tamaa mchezoni na hilo linaweza kuwa ni somo zuri sana kwa Tanzania bara. All the web’s free video streams on your Android and Computer device
Nguvu ya Urojo mwisho kwenye penatiHaki yao kuwatukana mnacheza mpira kwenye magazeti na vijiweni sasa mumeonyeshwa mdebedo na urojo ni bara. Maneenooo mingi kumbe hamna kitu mkiambiwa eti oohh matusi
Kwa hakika wanahitaji pongezi za dhati, wamecheza mpira uliotukuka!Hongera Kenya, na pongezi za dhati kwa vijana wetu Zanzibar Heroes kwa kushindwa kiume
Zanzibar kwanza.
Tulikunyea lakn.duh afwadhari, jamaa hawana adabu hawa, bora wmepigwa mamaee
Kenya nchi 1-0 Zanzibar Jimbo
Mungu ibariki Kenya
Unakera wew Chogo weeeWapigwe hata NNE
Maana wanakero