tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Administrator anayebadirisha score board hapo juu ni Mkenya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo yanaonekanaMungu ibariki Zanzibar
Aaah ana IndaAdmin anayebadirisha score board hapo juu ni Mkenya nini?
Shangaa sasaKenya nchi 1-0 Zanzibar Jimbo
Mungu ibariki Kenya
Ukiona hivyo ujuwe jiwe limempata huyo!Score bord inachelewa kubadilishwa
Haki yao kuwatukana mnacheza mpira kwenye magazeti na vijiweni sasa mumeonyeshwa mdebedo na urojo ni bara. Maneenooo mingi kumbe hamna kitu mkiambiwa eti oohh matusiWapigiwe tu matusi yamezidi mitaani
Kenya nchi 1-0 Zanzibar Jimbo
Mungu ibariki Kenya
Mbili mbili mkongwe. Hata tukapigwa Ila uwezo umeonekana kabisa kwa Zanzibar. Dua yako muhimu sana Mungu jaalia ushindi kwa Zanzibar.Wapigiwe tu matusi yamezidi mitaani
Lakini tushakunyea vyema. Usilalame yakheeee.Wapigwe hata NNE
Maana wanakero
Update utapata tu usijali kwanza ombea dua timu ya Zanzibar.Tupe updates
Tuko pamoja mkuuu. Zanzibar kwanza.Zanzbr twende kazi