Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Zenji Piga Kenya ili sisi bara tujifunze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua dua kwanza kwa ZanzbrWazanzibar wako makini sana kwenye mambo yao siyo siasa ktk kila kitu ya bara
Titalia tu usijali si unapenda tulie.Wataongea hawaa sipati picha
Penalti mkuuu kaa mkao Wa kula.update wakuu nini kinajiri huko
Ni haki yao kuongea, Tanganyika wanawafanyia figisu sana kwenye ball kimataifa.Wataongea hawaa sipati picha
Penaltyupdate wakuu nini kinajiri huko
UmeonaeeeeKitu walichonikera Zanzibar ni kimoja tu
Ilitakiwa waifunge TZ goli 8 au 7 hapo moyo wangu ungeburudika
Viva Zanzibar Nyie ni mashujaa
Zanzibar waibuke kidedeaPenalty
Mtakimbia Leo
[HASHTAG]#znzheroes[/HASHTAG]
acheni wivu akina kichuya walikuwa wanakimbia tu