Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Tanganyika nishiiida.
Hatuna chakujivunia
Hongera zanzibar heroes, lengo sio kombe, lengo ni kuonesha kiwango cha kabumbu, zanzibar ipo juu kisoka, isitoshe kenya ina experience kucheza kimataifa, wazanzibar wamewatoa jasho harambe, tena za mspumbu lool
Sisi Tanganyika nishiiida.
Hatuna chakujivunia
Kusema wametukana ni kukuza mambo. Daima kuna utani na ushabiki kwenye mchezo wowote. Tangu enzi za Gossage hadi hili la Challenge, kila timu shiriki imekuwa ni mpinzani na mtani wa mwenzake. Mojawapo wa viashiria vya utani ni maneno ya kebehi. Ndio maana tuna misemo kama ‘kufungwa twafungwa ela changa twawala’, ‘wacha mpira piga mutu’, n.k. Na tangu mpira wa Zanzibar kututumka kidogo mpaka kumekuwa hakuna tena ule uhakika wa kufungwa dhidi ya washiriki wenzake sambamba na usafiri wa Bara-Zanzibar na kurudi kuwezekana ndani ya siku moja, utani huo unaonekana kuvaa sura mpya. Wa Bara wamevutiwa na uraibu wa Kizanzibari kama ubuyu na urojo. Na kwa hivyo si ajabu utani huo kuhamia kwenye vichapuza kinywa hivyo. Wazanzibari kudhani wanatukanwa kwa utani huo ni kugeuza kichuguu kuwa mlima, kama Wa Tanzania Bara kuhisi hivyo wanapojibiwa utani huo kupitia ulaji huohuo. Swala la chuki baina ya pande mbili hizi halipaswi kuendekezwa kwa sababu ya utani huu wa mpito. Kwani Yanga na Simba wanapoitana Wamchangani na Wamatopeni ni kutukanana? Au ni kuukataa U-Dar-es-Salaam na kutukuza u-Jangwani/Twiga na U-Msimbszi? Tusisiasishe michezo kwa mambo ambayo ndio ladha mojawapo ya ushindani duniani kote.Afadhali wamefungwa ,hongera Kenya ... Hawa wenzetu wametutukana sana hizi wiki mbili za ligi ya mbuzi.
Nasema tena hongera Kenya kwa kazi nzuri
teh haijalishi, tunachoangalia n mmepigwa, na kelele zenu kwishaTulikunyea lakn.