CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Extra time dakika ya 8 bila bila
 
Yanga wamefanya mabadiliko

Ametoka Godfrey Taita....Kaingia Jullius Mrope
 
strikers ni janga la taifa kwa kweli hatuna wafungaji tunabahatisha tuuu
 
Wachezaji wanaanza kukosa break zao zimekuwa kama migari ya mchanga ya tiper mtu anazunguka kona hii mpaka njia panda>
 
Mmmmh leo hatoki mtu mpaka kieleweke. Jangwani fanyeni vitu, tuko mtandaoni kusubiria mnipe raha siku yangu ya kuzaliwa. lol!!
 
dakika ya 11free kick kuelekea lango la Yanga
 
dakika ya 12 free kick tena kuelekea goli la Yanga
 
Free kick kuelekea lango la Yanga

Aanapiga Amir Maftah

Anapiga............Simba wanacheza faulo
 
Mi Free kick ya kizamani bado tunaipenda kweli kama Timu ya ENgland bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…