Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Kaseja atawakoa Simba kwenye Penalti.....Tuhabarishe mkubwa
Tukienda kwenye penati tu hatun chetu....Yaw Berko ni mbovu sana kwenye penati ikilinganishwa na Juma Kaseja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaseja atawakoa Simba kwenye Penalti.....Tuhabarishe mkubwa
Dakika 30 za nyongeza
Dont worry mkuu ushindi ni lazima hata kama hauna ladhaDah Kama Mshabik iwa SImba sina Unazi Kipindi cha pili dk 20 za mwisho tumepoteza muelekeo wa mpira tumerudi Mipira ya Idi Amin piga tu kwa madotchi ya dole gumba.
Sijakuelewa bado.....Kina balantanda kaona TV anafurahiya huyo
Sijakuelewa bado.....
Polisi wameharibu sana pale.......Wanaendekeza ujinga aiseepolisi wamenichefua mnoooo sijawahi ona kitu cha kijinga namna hii duniani kooote