CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Kuna mwandishi w habari mpiga picha anazongwa na FFU kisa kavaa nguo ya njano.......Upumbavu huu sasa
 
Dah Kama Mshabik iwa SImba sina Unazi Kipindi cha pili dk 20 za mwisho tumepoteza muelekeo wa mpira tumerudi Mipira ya Idi Amin piga tu kwa madotchi ya dole gumba.
Dont worry mkuu ushindi ni lazima hata kama hauna ladha
 
jamani kuna jamaa kavaa rangi ya njano eti wanamuondoa kwa sababu washabiki wa simba hawataki kumuona kweli askari wetu vilaza jamani sijaona
 
Simba naiombea Dua nzuri Ameen ila naona kama Simba tumechoka tutapiga penalt za kupaisha hata kama kipa Juma kaseja aki save ni bure
 
Timu zinaingia uwanjani sasa.....Mashabiki wa Yanga wanawarushia makopo watu w huduma ya kwanza kisa wamevaa nguo nyekundu na nyeupe

Upumbavu huu sasa
 
polisi wamenichefua mnoooo sijawahi ona kitu cha kijinga namna hii duniani kooote
 
jamaa yupo kazini au kaja kushabikia yanga, Akakae jukwaani kwa washabiki wenzake wenye majezi ya njano
 
Back
Top Bottom