Hili ni tatizo kwa kweli sijui tufanyaje!strikers ni janga la taifa kwa kweli hatuna wafungaji tunabahatisha tuuu
Yanga wakikoswa koswa Prezidaa Batalanda kimya.....
Mabadiliko ya magoli yanafanyika hapa. Asamoah anaingia sasa, anatoka Tegete! Kwa nini sio Mwape??
Ndio maana yake kuna kila dalili...hii mechi itaenda kwen matuta sio?