CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Yanga nguvu nguvu tu mpira wao duh hawabadiliki kwanini????????????/////
 
Naona kama kuwarukia watu wa Jamii forum hapa mangumi tehteh namna Simba wanavyoniuzi leo
 
Nsajigwa a-retire kama Capt. wa Taifa Starz yule wa Mtibwa aliye kocha....choka mbaya...na tena kapata jiko sasa hivi...
 
Bala usikimbie tu leo tunataka wewe ndio ufunge chat hii...
 
Mabadiliko ya magoli yanafanyika hapa. Asamoah anaingia sasa, anatoka Tegete! Kwa nini sio Mwape??
 
Anatoka Tegete anaingia Asamoah.....

Timbe ni mpuuzi........Ni kwa nini anamng'ang'ania Mwape??????
 
Back
Top Bottom