CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Asamoah Gyan?
Keneth Asamoah.....Mghana wa YANGA

Ni move nzuri sana Gumbo kacheza

Dakika ya 20(AET)....

Ngoma bado nzito......Lolote laweza kutokea

Simba wanafanya mabadiliko,anaingia Salum Kanoni badal ya Amir Maftah
 
simba inataka kula kwetu wachezaji wapgane warudishe goal hilo
 
Kwa jinsi walivyozidiwa, Simba kurudisha labda wafanye mazingaombwe, wasipoangalia wataongezewa kingine kama kule Cairo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…