CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

yanga wanapoteza muda wakati simba wanataka kufunga goal kazi ipo kweli kweli
 
butua butua tu sasa asamooooooah gyan au hahahahaha St ivuga mtani upooooo
 
Simba zungumzeni basi?! Mbona kimya.
Magamba Magamba, unaona sasa magamba kweli yameacha gamba!
 
Extra time dk29 Simba 0: yanga 1
 
basi watani leo nanyie mumefikisha kikombe cha 4
 
Back
Top Bottom