CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Yanga wanaanza kujilaza chini kupoteza muda
 
Washabiki wa simba wanaanza kuniangusha wanaondoka mpaka mwarabu anasema kiswahili sasa yanga moja simba sufuri
 
dah .. Asamoah huyu si mtu kabisa.. Si angefunga kipindi cha cha kwanza?
 
Mbonaa mashabiki wa Simba wanaondoka uwanjani imekuwaje tena??
 
hii ndio ishatoka tena Simba tunahitaji Middle za nguvu na strikers zilizoenda shule.
 
Berko anapata kadi ya njano kwa kupoteza mpira

Simba wanashambulia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…