Kaka tunatofautiana uvumilivu, acha tutoke!Simba tulitakiwa kubaki Uwanjani kuonesha utuu wa kitanzania mashabiki sio kuondoka uwanjani si vizuri kuondoka kisa tumefungwa.
Siamini umeme unamekatika, aibu aibu aibu mno wabongo, uwanjani! Sijui tuna matatizo gani watanzania?! Yaani TANESCO wameshindwa hata kutuhifadhia siri zetu? Sasa dunia nzima inajua tunavyosumbuka na huu umeme!